• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 22 wafariki katika ajali ya basi nchini India

    (GMT+08:00) 2017-06-05 20:32:02

    Watu 22 wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa baadhi yao vibaya katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea jana asubuhi kwenye jimbo la Kaskazini nchini India.

    Vyombo vya habari nchini India vimeripoti kuwa, ajali hiyo ilitokea jana saa moja asubuhi kwa saa za huko wakati basi moja la abiria lilipowaka moto baada ya kugongwa na lori kwenye barabara ya No. 24 katika jimbo la Kaskazini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako