• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makocha watakiwa kujiunga na ZAFCA baada ya ZFA kupata uanachama wa CAF

    (GMT+08:00) 2017-06-06 08:18:38

    Makocha wa soka visiwani Zanzibar wametakiwa kwenda kujiunga na Chama cha Makocha "ZAFCA" ili kuzidi kuendeleza taaluma yao ya ukocha kwa kupata fursa mbali mbali zikiwemo kozi za makocha.

    Katibu msaidizi wa ZAFCA Mustapha Hassan ameeleza kuwa baada ya

    Zanzibar kupata uanachama wa 55 wa Shirikisho la Soka Barani Afrika "CAF" wamepokea mabadiliko na wametakiwa makocha wote wajiunge na chama chao ili watambuliwe na ZFA.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako