• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa Kikapu Ligi ya NBA: Durant na Curry waitesa Cavaliers

    (GMT+08:00) 2017-06-06 08:19:27

    Timu ya mpira wa kikapu ya Cavaliers sasa ina wakati mgumu baada ya kupoteza mchezo wa pili mfululizo wa fainali za NBA.

    Golden State Warriors imeshinda kwa pointi 132-113 na kuandika ushindi wa pili mfululizo.

    Stephen Curry na Kevin Durant waliongoza Warriors kuwa moto na kuizidi kwa kiasi kikubwa Cavs ambayo ilionekana kumtegemea mchezaji wake mmoja tu LeBron James.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako