• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tiote aanguka ghafla mazoezini, afariki dunia

    (GMT+08:00) 2017-06-06 08:23:47

    Kiungo wa zamani wa Newcastle United, mzaliwa wa Ivory Coast Cheick Tiote amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30 baada ya kuzimia wakati wa mazoezi nchini China.

    Tiote alijiunga na timu ya daraja la pili ya Beijing Enterprises nchini China kutoka Newcastle mwezi februari. Alikuwepo katika kikosi cha Ivory Coast kilichotwaa ubingwa wa kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2015.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako