• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan:Serikali ya Sudan yahofia migogoro ya Qatar kuathiri biashara

    (GMT+08:00) 2017-06-06 18:42:07
    Sudan imetoa mwito kwa nchi za jumuiya ya kiarabu kusitisha migogoro yao dhidi ya Qatar .

    Katika taarifa kupitia kwa vyombo vya habari,Sudan imependekeza nchi za Saudi Arabia,Bahrain,Misri,Yemen na Libya kuondoa marufuku ya kufanya shughuli ya biashara na kidiplomasia kwani hatua hiyo itaathiri pakubwa uchumi na biashara.

    Wizara ya mambo ya masuala ya nje nchini Sudan imetoa ushauri wa majadiliano ya utulivu na busara.

    Rais Omar Al Bashir wiki hii ameanda kikao cha dharura na balozi wa Kuwait kuhusiana na mizozo inayondelea Qtara.

    Sudan ina uhusiano imara wa biashara uwekezaji na uchumi na Qatar naimesema haitasitisha ushirikiano wao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako