• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia 2018, Mbio za Russia: kuendelea Ijumaa Ulaya

    (GMT+08:00) 2017-06-07 08:16:46

    Safari ya kutinga fainali za kombe la Dunia la 2018 huko Russia inaendelea Ijumaa Juni 9 kwa nchi za Ulaya na miongoni mwa mechi zake ni mitanange kati ya Sweden na France na ule wa watani wa Jadi Scotland na England. Mechi zingine zitazikutanisha timu za Bosnia and Herzegovina watakutana na Greece (kundi H), Uholanzi watamenyana na Luxembourg (kundi A), Belarus wataumana na Bulgaria (kundi A) Portugal na Latvia (kundi B), Faroe Island watakutana na Switzerland (kundi B), huku Estonia wataumana na Belgium (kundi H), nao Andorra watakutana na Hungary (kundi B) na Gibraltar itakutana na Cyprus (kundi H)

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako