• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Joshua aanza mazoezi makali, tayari kumuwinda tena Klitschko

    (GMT+08:00) 2017-06-07 08:17:30

    Bondia Anthony Joshua raia wa Uingereza ameanza mazoezi tena ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na pambano la marudiano dhidi ya Wladimir Klitschko.

    Joshua alimtwanga Klitschko kwa TKO na kubeba ubingwa wa dunia wa uzito wa juu wa IBF na WBA. Lakini Klitschko amesema anaweza kurudiana na Joshua au kustaafu. Hivyo kuonyesha kuna uwezekano wa pambano la marudiano.

    Wakala wa Joshua airway Eddie Hearn yeye amesema fedha zilizotengwa kwa ajili ya pambano hilo la marudiano, Klitschko hata akiwa na uamuzi wa kustaafu, ataahirisha na kucheza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako