• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanafunzi milioni 9.4 nchini China washiriki kwenye mtihani wa taifa wa kujiunga na vyuo vikuu

    (GMT+08:00) 2017-06-08 08:44:47

    Wanafunzi milioni 9.4 wa China wameshiriki kwenye mtihani wa taifa wa kujiunga na vyuo vikuu ulioanza jana. Kwa mujibu wa mpango wa mwaka huu uliowekwa na wizara ya elimu ya China, wanafunzi milioni 3.72 kati yao wanatarajiwa kusajiliwa na vyuo vikuu kwa masomo ya shahada ya kwanza baada ya mtihani huo, idadi ambayo imeongezeka kwa wanafunzi elfu kumi kuliko mwaka jana, hata hivyo ushindani wa kugombea fursa za kujiunga na vyuo vikuu maarufu bado ni mkali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako