Waziri wa uchukuzi wa Kenya James Macharia amesema pia wanasubiri jibu kutoka kwa idara ya usafiri ya Makrekani kuhusu ushirikiano husika.
Idara hiyo inatarajiwa kufanya ukaguzi wake wa mwisho wa uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta mwezi Oktoba kabla ya kuanza kwa safari hizo.
Mwezi uliopita mamlaka ya uchukuzi wa anga ilikuwa imetengaza kwamba ukaguzi wa mwisho uliahirisha mpaka baada ya uchaguzi mkuu.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |