• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Makampuni ya simu ya yang'ang'ania mgao wa soko nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2017-06-08 18:52:27
    Makampuni makubwa ya kutengeneza simu ya China yameingia kwenye maliumbano ya mgao wa soko nchini Kenya.

    Kampuni ya Oppo imeanzisha kampeni mpya ya kufikia wateja huku pia ikizindua aina mpya ya simu Oppo F3.

    Simu hiyo mpya kulingana na kampuni hiyo ina uwezo bora zaidi wa kupiga picha Lakini pia kwenye soko hilo hilo makampuni mengine ya China yamejikita kma vile Huawei, Tecno, Lenovo na Infinix

    Ubora wa simu na bei ndio vigezo muhimu kwenye soko la Kenya ambapo idadi ya watu wenye mapato ya wastani inaendelea kuongezeka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako