• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Benki ya Exim ya India yatafuta kufanya biashara na Uganda

    (GMT+08:00) 2017-06-08 18:53:30

    Maafisa wa benki ya Exim ya India wako nchini Uganda kutafuta nafasi za ushirikiano wa kibiashara na serikali ya nchi hiyo.

    Benki ya Exim ya India inahudumu kama ile ya Exim ya China kazi zake hasa zikiwa ni kutoa mikopo ya ujenzi wa miundo mbinu kwa serikali.

    Maneja mkurungezi wa benki hiyo Nadeem Panjetan amekutana na waziri mkuu wa Uganda Ruhakana Rugunda, waziri wa fedha Matia Kasaija, pamoja na waziri wa elimu Janet Museveni, kujadili sababu za Uganda kupokea mikopo kutoka kwa benki hiyo.

    Nadeem Panjetan alisema benki hiyo ina fedha za kufadhili miradi kama vile kawi, kilimo na afya.

    Ii kupata mikopo serikali ya Uganda inafaa kuwasilisha mapendekezo yake kupitia kwa balozi wa India nchini Uganda.

    India ndio ndio ya pili kwenye uuzaji wa bidhaa zake nhini Uganda baada ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako