• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la ngazi ya juu la vyombo vya habari vya nchi za BRICS lafunguliwa

    (GMT+08:00) 2017-06-08 20:26:32

    Kongamano la ngazi ya juu la vyombo vya habari nchi za Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini zinazounda kundi la BRICS limefunguliwa hapa Beijing. Kauli mbiu ya kongamano hilo ni kuimarisha ushirikiano wa vyombo vya habari vya nchi za BRICS, na kuhimiza haki na usawa wa maoni ya umma ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako