• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michezo ya kimataifa ya kirafiki iliyochezwa jana

    (GMT+08:00) 2017-06-09 09:08:53

    Timu za taifa za mataifa tofauti zilishuka viwanjani jana usiku katika kucheza michezo ya kirafiki ya kimataifa.

    Timu ya taifa ya Italia wakicheza katika dimba la Allianz Riviera waliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uruguay, Japan wakatoshana nguvu na Syria kwa sare ya bao 1-1.

    Hispania wakashindwa kutamba mbele ya Colombia kwa kuambulia sare ya mabao 2-2 mchezo ukicheza dimba la La Condomina

    China wakashinda kwa kishindo kwa kuwachapa Ufilipino kwa mabao 8 - 1, Finland na Liechtenstein wakatatoshana nguvu kwa sare ya 1-1, Iran nao wakaambulia sare ya bila kufungana na Korea kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako