• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Liu Zhenmin ateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2017-06-09 10:29:16

    Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Bw. Antonio Guterres amemteua Bw. Liu Zhenmin kutoka China kuwa naibu katibu mkuu mpya wa umoja huo anayeshughulikia masuala ya kiuchumi na kijamii, akichukua nafasi ya Bw. Wu Hongbo anayemaliza muda wake. Bw. Liu Zhenmin mwenye uzoefu wa miaka 30 katika kazi za diplomasia, kwa sasa ni naibu waziri wa mambo ya nje wa China, na aliwahi kuwa Balozi wa China katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako