• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ziara ya rais Xi Jinping nchini Kazakhstan imeongeza msukumo kwa ajili ya ujenzi wa "Ukanda mmoja, Njia moja"

    (GMT+08:00) 2017-06-11 19:58:22

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi ameeleza kuwa, ziara ya rais Xi Jinping nchini Kazakhstan imeongeza msukumo kwa ajili ya ujenzi wa "Ukanda mmoja, Njia moja".

    Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara ya kitaifa nchini Kazakhstan kuanzia tarehe 7 hadi 10 Juni, na kuhudhuria mkutano wa 17 wa Baraza la viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya ushirikiano wa Shanghai, na ufunguzi wa Maonesho ya Astana.

    Bw. Wang Yi amesema ziara hiyo itaunganisha moyo wa "Ukanda mmoja, Njia moja" na matokeo yaliyopatikana katika mkutano wa mazungumzo yaya kila upande na pande nyingi, kutoa msingi thabiti kwa ajili ya kutekeleza pendekezo la "Ukanda mmoja, Njia moja"kuwa njia yenye amani, ustawi, uwazi na utamaduni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako