• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali ya Sportpesa Supercup: Gor Mahia Bingwa, wawatandika mahasimu wao

    (GMT+08:00) 2017-06-12 08:38:35
    Gor Mahia ya Kenya jana kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wameibuka mabingwa wa Sportpesa Super Cup baada ya kuwachapa mahasimu wao wakubwa AFC Leopard pia kutoka Kenya goli 3-0 kwenye mchezo wa fainali.

    Hadi mapumziko timu hizo zilienda sare ya bila kufungana. Kipindi cha pili, Gor Mahia waliongeza munkari na kujipatia goli hizo. Timu hiyo sasa itacheza na timu ya Everton ya Uingereza Julai 13 jijini Dar es Salaam.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako