• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Dirisha la usajili Bara kufunguliwa wiki ijayo

    (GMT+08:00) 2017-06-12 08:39:49
    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema dirisha la usajili kwa wachezaji wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ligi daraja la kwanza na ligi daraja la pili kwa msimu ujao wa mashindano wa 2017/2018 litafunguliwa Juni 15, mwaka huu.

    Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas, amesema kwamba baada ya kufunguliwa litafungwa Agosti 6, mwaka huu na ameitaka kila timu inayoshiriki michuano husika kufuata kalenda hiyo kwani hakutakuwa na muda wa nyongeza kwa timu ambazo hazitakamilisha usajili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako