• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa mwongozo wa kuendeleza maeneo ya majaribio ya utalii jumuishi

    (GMT+08:00) 2017-06-12 18:55:30

    China imetoa mwongozo wa kuendeleza maeneo ya majaribio ya utalii ili kuzifanya serikali za mitaa kuingiza rasilimali ya utalii ili kuboresha ushindani wa utalii na ubora wa huduma.

    Mwongozo huo uliotolewa na Idara ya Taifa ya Kusimamia Utalii imeelekeza kuwa, maeneo hayo ya majaribio yanapaswa kuwa na usimamizi wa ngazi ya juu, bidhaa mbalimbali za utalii, huduma na ushiriki wa jamii.

    Wazo la kuwa na utalii jumuishi lilijadiliwa kwa mara ya kwanza kwenye ripoti ya kazi za serikali kwa mwaka huu ili kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya bidhaa za utalii na huduma, hivyo kuchochea mageuzi ya kiuchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako