• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya USHURU WA ASILIMIA NNE UNAUMIZ MPANGO WA MAUZO YA NJE YA MAUA KUELEKEA CHINA

    (GMT+08:00) 2017-06-12 19:47:45
     

    Asilimia nne Ushuru wa Forodha inayotozwa maua ya Kenya imepunguza jitihada za kukuza soko mbadala nchini China licha ya usafiri wa anga moja kwa moja kati ya nchi hizo mbili.

    China, pamoja na Australia na Japan, ni kati ya masoko muhimu ambayo wauzaji wa Kenya wamekuwa wakiangalia katika juhudi zao za kupanua vyanzo mbalimbali za bidhaa zao mbali na soko Umoja wa Ulaya.

    Wazalishaji maua wanalalamikia ushuru wa juu unaotozwa maua, huku wakisema imefanya maua kuwa ghali katika soko la China ikilinganishwa na nchi za Umoja wa Ulaya EU ambapo wanauza bila ushuru.

    Mkuu wa Chama cha Maua nchini Kenya Jane Ngige anasema wametao wito kwa serikali ya Kenya kujadili kuondolewa kwa ushuru na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako