• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: KAMPUNI YA Teknolojia IMEZINDUA JUKWAA ILI KUSAIDA wafanyibiashara wadogo

  (GMT+08:00) 2017-06-12 19:50:15

  Wafanyabiashara, wauzaji na watu wengine wanaoshiriki katika biashara ndogo ndogo na za kati sasa wanaweza kuwa na uwezo wa kutekeleza mikataba yao bila kusubiri kwa mabenki kuwapa mikopo ya fedha.

  Hii imewezeshwa na teknolojia mpya, iliyopewa jina la 'Kountable ICT Marketplace'.

  Teknolojia mpya itasaidia wafanyibiashara wadogo kufanya biashara zao kwa urahisi bila kutafuta mikopo ya fedha kutoka kwa benki.

  Biashara ya fedha imekuwa kwa miaka mingi kwa biashara, lakini ilichukua teknolojia ya kuweza kusaidia biashara ndogo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako