• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbio za New York Mini: Keitany aibuka mshindi

    (GMT+08:00) 2017-06-13 08:09:03
    Malkia wa mbio za London na New York, Mary Keitany ameibuka mshindi wa mbio za New York Mini za kilomita 10 mwaka huu zilizofanyika Marekani.

    Keitany alitumia dakika 31:20 huku akifuatwa kwa karibu na Muethiopia Mamitu Daska aliyemaliza kwa dakika 32:09 huku Mkenya mwenye uraia wa Marekani Aliphine Tuliamuk akikamata nafasi ya 3 kwa kutumia dakika 32:14.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako