• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Taifa Stars kuingia kambini Juni 14 kujiandaa na COSAFA

    (GMT+08:00) 2017-06-13 08:09:24
    Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itaingia kambini tena Juni 14 kujiandaa na michuano inayoratibiwa na baraza la soka la Kusini mwa Afrika (COSAFA)

    Kocha mkuu wa timu hiyo amepanga kufanya mabadiliko kidogo cha kikosi kitakachokwenda kushiriki michuano hiyo kwa kuwatambulisha leo watakaojiunga na wenzao.

    Michuano ya COSAFA itaanza Juni 25 Afrika Kusini kwa kushirikisha timu wanachama wa baraza hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako