• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baadhi ya Mataifa huhujumu CECAFA: Musonye

    (GMT+08:00) 2017-06-13 08:09:43
    Katibu wa shirikisho la kandanda la Afrika Mashariki na kati Nicholas Musonye amesema kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya shirikisho hilo ambao huenda ukadumaza maendeleo ya soka.

    Kwa mujibu wa Musonye kuna baadhi ya mataifa wanachama ambayo yameungana kuangamiza na kuiangusha CECAFA kwa madhumuni ya kujinufaisha ikiwa ni pamoja na baadhi ya makampuni ya udhamini .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako