• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Yang Jiechi akutana na katibu mkuu wa OPCW Bw. Ahmet Üzümcü

    (GMT+08:00) 2017-06-13 08:56:52

    Mjumbe wa taifa wa China Bw. Yang Jiechi jana hapa Beijing alikutana na katibu mkuu wa Shirika la kupiga marufuku silaha za kemikali OPCW Bw. Ahmet Üzümcü. Bw. Yang Jiechi amesema China inaunga mkono kithabiti Mkataba wa kupiga marufuku silaha za kemikali, na kutekeleza kwa makini wajibu wake kwa mujibu wa mkataba huo, na inapenda kuimarisha ushirikiano na OPCW. Kwa upande wake Bw. Ahmet Üzümcü amepongeza mchango mkubwa wa China katika kupiga marufuku silaha za kemikali na kuahidi kuendelea kuzidisha ushirikiano na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako