• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Kenya ni yenye kasi kubwa ya intaneti kuliko Marekani, Taiwan, Ireland na Sweden

  (GMT+08:00) 2017-06-13 19:18:03

  Raia wa Kenya ndio wanaotumia intatneti yenye kasi zaidi ikilinganishwa na wenzao wa Marekani, Taiwan, Ireland na Sweden.

  Hayo ni kwa mujibu wa ripoti mpya na utafiti wa shirika la Akamai.

  Kwa jumla Kenya iko kwenye nafasi ya 14 kati ya nchi 130 zilizohusishwa kwenye utafiti huo

  Mtaalama wa maswala ya intaneti nchini Kenya Njeri Rionge anasema kuwepo na moundo mbinu ya faiba inawezesha raia hata wa vijijini kufikiwa na hudua za mtandao wa kasi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako