• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania yajiweka hatarini kufungiwa na FIFA

    (GMT+08:00) 2017-06-14 08:30:24
    Tanzania yajiweka hatarini kufungiwa na shirikisho la soka duniani (FIFA) baada ya kile kinachoonekana serikali kutaka kuingilia shirikisho la soka Tanzania (TFF)

    TFF juzi ilitoa taarifa ya mchakato wa uchaguzi wake, ambao imepanga ufanyike Agosti 12 mwaka huu mjini Dodoma, lakini jana Baraza la Michezo la Taifa (BMT) lilio chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo limesimamisha zoezi hilo.

    Taarifa ya BMT iliyosainiwa na Katibu Mkuu wake, Mohammed Kiganja imesema kwamba TFF wameanza taratibu za uchaguzi bila kulitaarifu baraza hilo, hivyo mchakato huo ni ubatili na unasitishwa mara moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako