• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Masumbwi: shirikisho la IBF lapinga ushindi wa Ryan Burnett

  (GMT+08:00) 2017-06-14 08:31:03
  Shirikisho la masumbwi la IBF limesema kwamba ushindi wa bondia Ryan Burnett dhidi ya Lee Hanskin ilitolewa kimakosa.

  Siku ya Jumamosi Burnet alipewa ushindi na majaji wawili kimakosa huku jaji mmoja akipinga ushindi huo. IBF imesema kuwa maamuzi ya majaji hao wawili yalikuwa hayampi ushindi bondia yoyote kutokana na uwiano wa alama sawa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako