• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kombe la EFL sasa kuitwa kombe la Karabao

  (GMT+08:00) 2017-06-14 08:31:31
  Michuano ya kombe la EFL ya nchini Uingereza kwasasa itajulikana kama Carabao Cup baada ya kupata udhamini mpya wa kampuni ya Carabao ya nchini Thailand

  Kampuni hiyo inayotengeneza Kinywaji cha kuongeza nguvu mwilini imesaini mkataba wa miaka mitatu wa kudhamini michuno hiyo.

  Ratiba ya kupanga droo ya mechi za raundi ya kwanza ya zamichuano hiyo itafanyika ijumaa hii huko Bangkok, Thailand huku michezo ya kwanza itafanyika kati ya Agosti 8 na 9 nc mchezo wa fainali utapigwa katika dimba la Wembley Februari 25, 2018. Klabu ya Manchester United ndio bingwa mtetezi wa michuano hiyo

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako