• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa taarifa ya pamoja kuhusu kuondoa umaskini kwa niaba ya nchi zaidi ya 140

    (GMT+08:00) 2017-06-14 10:17:14

    Kwenye mkutano wa 35 wa Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa uliofanyika jana huko Geneva, balozi wa China kwenye ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva Bw. Ma Zhaoxu ametoa taarifa ya pamoja kuhusu kuondoa umaskini na kuhimiza haki za binadamu kwa niaba ya nchi zaidi ya 140.

    Bw. Ma amesema kuondoa umaskini ni njia muhimu ya kuhimiza na kulinda haki za binadamu. Hivi sasa bado kuna watu zaidi ya milioni 800 duniani wanaoishi katika umaskini. Namna ya kupunguza na kuondoa umaskini, na kuweka mazingira kwa ajili ya kuhimiza na kulinda haki za binadamu, ni changamoto ya pamoja inayoikabili jumuiya ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako