• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sekta ya huduma nchini China inaendelea kupanuka kwa kasi

    (GMT+08:00) 2017-06-14 18:34:10

    Sekta ya huduma nchini China imeendelea kupanuka katika mwezi Mei, na kuleta vuguvugu kwa ukuaji tulivu wa uchumi na ajira nchini China.

    Idara ya Takwimu ya China imesema, kiashiria cha Utoaji wa Huduma kiliongezeka kwa asilimia 8.1 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho, na kuendelea kukua katika kasi hiyo hiyo kwa mwezi uliopita.

    Takwimu zilizotolewa na Idara hiyo zimeonyesha kuwa, shughuli za kibiashara ziliongezeka kwa kasi mwezi uliopita, huku viashiria vyake vikifikia asilimia 53.5, ikiwa ni zaidi kwa asilimia 0.9 kuliko mwezi April.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako