• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yategemea Luxembourg itachukua nafasi muhimu katika kuendeleza uhusiano kati ya China na Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2017-06-14 20:02:45

    Rais Xi Jinping wa China amesema kuwa China inategemea Luxembourg itachukua nafasi muhimu katika kuendeleza uhusiano kati ya China na Umoja wa Ulaya.

    Rais Xi amesema hayo alipokutana na waziri mkuu wa Luxembourg Xavier Bettel ambaye yuko ziarani hapa China. Rais Xi amesema kuwa anatumaini kuwa Luxembourg inaweza kuushawishi Umoja wa Ulaya kutoa masharti nafuu kwa ajili ya maendeleo ya ushirikiano kati ya China na Umoja huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako