• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UGANDA: Wafanyabiashara wa Moroto kwa sasa wanatengeneza faida kubwa kutokana na kuuza chakula katika maeneo jirani Turkana.

  (GMT+08:00) 2017-06-14 20:14:57

  Wafanyabiashara katika Wilaya ya Moroto kwa sasa wanatengeneza faida kubwa kutokana na kuuza chakula katika maeneo jirani Turkana.

  Mahitaji ya sasa ya chakula katika kaunti ya Turkana kaskazini mwa Kenya imefanya wafanyabiashara Moroto kungeza bei ya chakula na kupata faida mara mbili.

  Kilo moja ya mchele ambao ilikuwa inauzwa sh 3,000 yas Uganda mwezi uliopita, sasa inauzwa Shs 4,000 ya Uganda na Ksh190 ya Kenya eneo la Turkana.

  Mfuko wa kilo 10 wa unga wa mahindi ambao ilikuwa ikiuzwa sh 17,000 ya Uganda mwezi uliopita, sasa inauzwa Shs 28,000 ya Uganda na Ksh1,100 ya Kenya kaunti ya Turkana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako