• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Mashariki BEI ZA NDEGE BEI NAFUU ZATARAJIWA EAC

  (GMT+08:00) 2017-06-14 20:15:58

  Ndege zinazoenda nchi za Afrika Mashariki zitawekwa kama usafiri wa ndani mwishoni mwa mwaka huu.

  Hii inatarajiwa kupunguza bei ya tiketi za ndege na kuongeza idadi ya abiria wanaosafiri kwa ndege.

  Hii itafanyika tu, ikiwa makubaliano kati ya wadhibiti wa mkoa wa anga watatia saini makubaliano hayo.

  Bei ya tiketi za ndege itashuka hadi asilimia 12,na wasafiri wa ndani wakilipishwa ada ya huduma dola 5.

  Usafiri wa anga Afrika Mashariki umeongezeka kwa asilimia 3.4 katika miaka kumi iliyopita - dhidi ya kiwango cha ukuaji wa Kimataifa wa asilimia 5.5.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako