• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uchumi wa Uganda kupanuka nchi hiyo itakapoanza kuuza mafuta

    (GMT+08:00) 2017-06-15 19:24:40

    Uchumi wa Uganda unatarajiwa kupanuka pale nchi hiyo ya Afrika Mashiriki itakapoanza kuuza mafuta yake.

    Kwa kipindi cha miaka mitatu iliopita uchumi wa nchi hiyo umekuwa na ukuaji mdogo hali ambayo inaweza kuathiri malengo yake ya kuwa na uchumi wa wastani mwaka 2020.

    Mkurungezi wa benki ya Stanbic Uganda Patrick Mweheire, amesema katika kipindi cha kujiandaa kuuza mafuta ujenzi wa miundo mbinu kama vile barabara na mabomba yatasaidia kufungua nafasi za ajira na hivyo kuanza kupanua uchumi

    Kulingana na taakwimu zaidi ya ajira 100,000 za moja kwa moja zitapatikana wakati wa koindi hicho cha matayarisho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako