• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Uwanja wa ndege Isiolo nchini Kenya kuanza oparesheni ndani ya wiki mbili

  (GMT+08:00) 2017-06-15 19:29:21

  Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Isiolo nchini Kenya unatarjiwa kuanza oparesheni ndani ya wiki mbili.

  Katibu wa kudumu kwenye wizara ya uchukuzi Paul Maringa amesema ujenzi wa eneo la angatua ya kilomita 1.4 utakamilika ndani ya siku saba.

  Alisema kwanza uwanja huo utaanza kwa kutoa huduma za ndege za kusaifi ndani ya nchi.

  Uwanja huo umejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 2.7 na unaweza kuhudumia abiria 350,000 kwa mwaka.

  Mkurungezi wa mamlaka ya viwanja vya ndege nchini humo Jonny Andersen utasaidia kukuza uchumi wa kaunti za Isiolo, Meru na Marsabit ambako wakaazi wanategemea sana mifugo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako