• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • AfDB imewekeza zaidi ya dola bilioni 10.80 Afrika mwaka 2016

  (GMT+08:00) 2017-06-15 19:29:58

  Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) imesema imewekeza zaidi ya dola bilioni 10.80 barani Afrika katika mwaka wa 2016.

  Ripoti ya utathmini wa maendeleo ya benki hiyo inaonyesha kwamba uwekezaji huo pia umezalisha nafasi milioni 1.6 za ajira hasa kwa wanawake na vijana.

  Aidha oparesheni za benki hiyo barani Afrika ziliongezeka kutoka 241 mwaka 2015 hado 305 mwaka 2016.

  Rais wa benki hiyo Akinwumi Adesina amesema miradi iliowekezwa zaidi ni ile ya kawi, viwanda na kilimo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako