• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Rwanda na Russia zaahidi kusukuma mbele ushirikiano

  (GMT+08:00) 2017-06-15 19:30:42

  Mkurungezi wa madini, petrol na gesi wa Rwanda Francis Gatare, amesema uhusiano wa nnchi hiyo na Russia unaendelea kupanuka.

  Akizungumza wakati wa maadhimisho ya kitaifa ya Russia Gatare alisema nchi hizo mbili zina ushirikiano kwenye sekta za elimu, teknolojia yamawasiliano, michezo na nyingineo.

  Naye naibu balozi wa Russia nchini Rwanda Mikhail D. Nikitin amesema hadi sasa zaidi ya wanafunzi 800 wa Rwanda wamehitimu katika vyuo mbalimbali nchini Russia hiyo ikiwa ni sehemu ya mafanikio ya ushirikiano kwenye sekta ya elimu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako