• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Klabu ya Mtanzania Emily Mgeta ya Ujerumani yatwaa Kombe la Baden Wurttemberg

  (GMT+08:00) 2017-06-16 09:53:07

  Klabu ya Sport Freunde Lauffen, ambayo anaichezea Mtanzania Emily Mgeta huko Ujerumani jana ilitwaa Kombe la Baden Wurttemberg.

  Timu ya Sport Freunde Lauffen imetwaa taji hilo baada ya kufanikiwa kuifunga TSG Wustenrot kwa magoli 2-0, ushindi huo sasa unaipa nafasi nyingine timuhiyo ya kushiriki Kombe la Ujerumani (Germany Cup).

  Germany Cup ni Kombe kama la FA ambapo litashirikisha timu hadi za Bundesliga na mfumo utakaotumika katika hatua hiyo ni mtoano, kama watafanya vizuri na kufikia hatua za mbali wanaweza kupata nafasi ya kucheza na timu za Bundelsiga.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako