• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yaadhimisha miaka 24 ya mashujaa

    (GMT+08:00) 2017-06-19 08:58:33

    Uganda imesherehekea miaka 24 ya Mashujaa, huku nchi hiyo ikiendelea kukumbwa na changamoto za kiusalama. Licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi hicho, vyama vya upinzani vimeikosoa serikali kutokana na kuendelea kuwepo kwa matukio ya kukosekana kwa usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako