• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kombe la Mataifa ya Afrika: ukosefu wa nidhamu waigharimu Sudani Kusini

  (GMT+08:00) 2017-06-19 09:47:31

  Kocha wa timu ya taifa ya Sudani Kusini Bilal Komoyangi amekubali makosa ya wachezaji wake imewagharimu katika mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya Burundi katika michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika (CAN).

  Timu hiyo ya Sudani Kusini ilikubali kipigo cha goli 3-0 toka kwa Burundi iliyochezwa katika uwanja wa Rwagasore mjini Bunjumbura. Mechi hiyo ilikuwa ya kwanza kwa Burundi katika mechi za kufuzu kwa CAN wa 2019. Burundi na Sudan Kusini wako katika kikundi C na Gabon na Mali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako