Mtu mmoja amekamatwa baada ya kuwaparamia waenda kwa miguu kwa gari alilokuwa akiendesha. Tukio hilo limetokea kwenye bustani ya Finsbury kaskazini mwa London.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |