• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wawili wauawa katika shambulizi la kigaidi kwenye hoteli ya kitalii nchini Mali

    (GMT+08:00) 2017-06-19 18:35:23

    Watu wawili wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililotokea kwenye hoteli ya kitalii ya Kangaba Le Campement iliyoko pembezoni mwa mji mkuu wa Mali, Bamako.

    Mmoja wa watu waliouawa katika shambulizi hilo lililofanywa na wapiganaji wasiojulikana jana mchana ni mwanamke mwenye asili ya Gabon na Ufaransa, huku marehemu mwingine bado hajatambuliwa.

    Hakuna kundi lililokiri kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako