• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FIFA Kombe la mabara: Ujerumani yaibwaga Australia

    (GMT+08:00) 2017-06-20 09:52:15

    Mabingwa wa dunia Ujerumani wameanza vyema mechi yao ya kundi B la mashindano ya FIFA ya kombe la mabara iliyochezwa huko uwanja wa Fisht mjini Sochi Russia kwa kuwabwaga Australia 3-2.

    Hadi mapumziko Ujerumani walikuwa wakiongoza kwa goli 2-1. Kipindi cha pili, Ujerumani walijipatia bao la 3 katika dakika ya 48. Leo ni mapumziko. Mtanange utaendelea kesho kwa mechi za kundi A ambapo wenyeji Russia wataanza na Ureno, na kufuatia mechi baina New Zealand na Mexico

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako