• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Malawi yasema rais wake hajawahi kumpinga Rais Mugabe

    (GMT+08:00) 2017-06-20 09:56:03

    Serikali ya Malawi imekanuasha habari zinazoenea kwenye mtandao wa internet kuwa Rais Peter Mutharika wa nchi hiyo amewahi kumsema vibaya rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kwenye mkutano wa kisiasa.

    Taarifa iliyotolewa mwanzoni mwa wiki hii na msemaji wa serikali ya Malawi inasema habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Nyasa Times la Malawi, yenye kichwa "Rais Mutharika amemshambulia Mugabe" ikimkosoa Rais Robter Mugabe kukaa madarakani kwa muda mrefu, ni "propaganda halisi" na Rais Mutharika hakuwahi kusema lolote lililoandikwa kwenye gazeti hilo.

    Taarifa hiyo imesema serikali ya Malawi inapenda kujiepusha na uongo unaenezwa kwenye vyombo vya habari kuhusu Rais Mutharika kuingilia kati mambo ya ndani ya Zimbabwe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako