• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China akutana na wajumbe wa Marekani wanaohudhuria mazungumzo viwanda biashara

    (GMT+08:00) 2017-06-20 20:47:35

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amekutana na wajumbe wa Marekani na China wanaohudhuria mazungumzo ya 9 ya viongozi wa wanaviwanda na wafanyabiashara yanayofanyika leo asubuhi hapa Beijing.

    Bw. Li amesema ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara ni msingi muhimu wa uhusiano kati ya China na Marekani. China inayakaribisha makampuni ya nchi mbalimbali ikiwemo Marekani kuanzisha shughuli hapa China, ili kunufaishana na kutimiza mafanikio ya pamoja

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako