• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara nchini Ethiopia, Jordan na Lebanon

    (GMT+08:00) 2017-06-20 21:08:14

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang ametangaza kuwa kuanzia tarehe 20 hadi tarehe 23 waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi atafanya ziara nchini Ethiopia, Jordan na Lebanon. Pia atatembelea makao makuu ya Umoja wa Afrika, na kuhudhuria ufunguzi wa mazungumzo ya ngazi ya juu ya upunguzaji wa umaskini na maendeleo kati ya China na Afrika nchini Ethiopia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako