• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maofisa wa Ureno wakanusha habari kuhusu ajali ya ndege

    (GMT+08:00) 2017-06-21 09:03:54

    Ofisa wa serikali ya Ureno Bw. Vaz Pinto amekanusha habari kuwa ndege moja ya Canadair imeanguka wakati inapambana na moto wa msitu katikati ya nchi hiyo. Amewaambia wanahabari kwamba hajapata taarifa yoyote rasmi kuhusu kuanguka kwa ndege kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari. Hivi sasa vikosi vya zimamoto na ndege vinaendelea kupambana na moto mkubwa wa msitu kwenye eneo la Pedrogao Grande, kilomita 150 kaskazini mashariki mwa Lisbon, ambao mpaka sasa umesababisha vifo vya watu 64 na wengine 160 kujeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako