• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndondi: Cyborg kuzipiga na Anderson kuwania taji la UFC

    (GMT+08:00) 2017-06-21 09:07:43

    Jumamosi Julai 29 mtoto hatumwi dukani, bondia Cris Cyborg atapanda ulingoni kupigana na Megan Anderson kuwania taji la UFC 214 uzito wa feather kwa upande wa wanawake.

    Wawili hao watawania taji lililoachwa wazi na Germaine de Randamie aliyevuliwa ubingwa huo kwa kukataa kupigana na Cyborg. Pambano hilo litafanyika。

    UFC inasisitiza kuwa bingwa yeyote anatarajiwa kukubali mapambano dhidi ya wapinzani wanaopangiwa kupigana nao j ili kudumisha uadilifu wa mchezo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako