• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu duniani kufikia bilioni 9.8 mwaka 2050

    (GMT+08:00) 2017-06-22 08:52:40

    Umoja wa Mataifa umekadiria kuwa idadi ya watu duniani inatarajiwa kuwa bilioni 8.6 mwaka 2030, na kufikia bilioni 9.8 ifikapo mwaka 2050, licha ya kiwango cha uzazi kuwa chini kote duniani. Ripoti ya Umoja wa Mataifa inasema kwa sasa idadi ya watu duniani ni bilioni 7.6, na imeongezeka kutoka bilioni 7.4 ya mwaka jana kutokana na kiwango cha juu cha uzazi katika nchi zinazoendelea, lakini idadi ya watoto kote duniani imeendelea kupungua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako