• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 15 wauawa katika mlipuko uliotokea kwenye benki moja nchini Afghanistan

    (GMT+08:00) 2017-06-22 19:08:11

    Watu 15 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa wakati mlipuko ulipotokea katika benki moja iliyoko mjini Lashkar Gah, mkoa wa Helmand nchini Afghanistan na kufuatiwa na mashambulizi ya risasi.

    Msemaji wa serikali ya mkoa huo Omar Zwak amesema, uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa mlipuko huo umetokea baada ya gari lililotegwa mabomu kulipuka katika tawi la Benki ya Kabul leo mchana kwa majira huko.

    Hakuna kundi lililothibitisha kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako